Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar
anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka
miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani.
Hayo yamemkuta juzi
alipofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya
Kinondoni kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo alikuwa akipokea amri
kutoka kwa askari na kumfanya kukosa raha
↧