Diamond Platinumz ambaye jina lake halisi la dini ya kiislamu ni
Naseeb Abdul ameshambuliwa Instagram na baadhi ya mashabiki baada ya
kupost picha akiwa beach huko ughaibuni huku ameshikilia kamba iliyomfunga mbwa.
Mashabiki wengi walimshambulia wakielekeza point yake kwenye suala la
imani ya dini ya kiislamu huku wakiunganisha tukio hilo na mwezi
mtukufu wa Ramadhani.
↧