Taarifa
kutoka Kenya zinaarifu watu wanne waliokua kwenye ndege iliyokua ikipaa
kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi kuelekea Mogadishu
Somalia wamefariki dunia baada ya Ndege hiyo kuanguka katika eneo la
Utawala dakika chache baada ya kupaa.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya July 02 na inaaminika kwamba ndege
hiyo ilikua iondoke mapema kusafirisha zao la Mirungi na bidhaa
↧