Diamond Platinumz ametangaza kupitia Instagram kuwa ataachia video
mbili kwa mpigo ikiwa ni siku chache baada ya kumalizana na BET Awards
2014.
Mashabiki wake wategemee kuona video mbili kwa wakati mmoja ambazo ni
moja ya wimbo aliofanya na mkali wa Kukere, Iyanya wa Nigeria, na
nyingine ya wimbo wenye asili ya ngoma za kitanzania Kitorondo aliyoipa
jina la MdogoMdogo.
Diamond
↧