Watu wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.
Mgahawa huo ulioko mtaa wa Uzunguni jirani na Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, ulilipuliwa saa 4.30 usiku wa kuamkia jana.
Tukio hilo limekuja siku nne tangu Shehe na
↧