Mtangazaji anayejihusisha zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce
Kiria amenangwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana
kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe
Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora.
Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha
kujidhalilisha, huoni kama unapoteza utu wako? Naanza
↧