Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014.
Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya mchezo.
Robin van Persie akishangilia na mwenzake Dirk Kuyt (juu) baada ya kufunga bao la kwanza kwa Uholanzi.
Beki wa Uholanzi, Daley Blind (kushoto) akitupia kambani bao la pili katika
↧