Mwimbaji wa kike Dayna Nyange amezungumzia jinsi alivyokutana na
changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ya ngozi yake na kuwa
nyeupe.
Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Dayna ameeleza kuwa
amekuwa akikosolewa na watu wengi huku wengine wakitumia lugha mbaya dhidi
yake lakini yeye ameipokea vizuri kwa kuwa anaamini ni watu
wanaompenda.
“Ni sawa kwa sababu
↧
Dayna Nyange asimulia jinsi anavyoshambuliwa na Mashabiki kwa Lugha Chafu baada ya kuamua Kujichubua
↧