Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto
Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo
limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya
Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni
mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald Paulo
↧