Tukio la ujambazi ambalo liliua watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi, limechukua sura mpya baada ya silaha waliyokuwa wakitumia majambazi hao kugundulika kuwa ilikuwa ikimilikiwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Sospeter Peter Manyika ambaye kwa sasa yuko rumande.
Kukamatwa kwa Manyika kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas lakini hakuwa
↧