Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amesema jeshi hilo lina uhakika wa kuwapata watuhumiwa wa mabomu mkoani Arusha na kwingineko nchini, pamoja na kudhibiti matukio hayo baada ya kukamilika kwa uchunguzi wa taarifa walizopata.
Mangu alisema hayo jana wakati wa mkutano baina yake na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Namibia, Luteni Jenerali Sebastian Ndeitunga ambaye ni Mwenyekiti
↧