Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka
na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu,
uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku
akidai Wema ni kigeugeu.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, juzi Jumatano
pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni
mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa
↧