Shirika la afya duniani, limewaasa wanaume
wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kutumia dawa za kupunguza makali ya
HIV hata ikiwa hawajaambukizwa HIV.
Shirika hilo linasema kuwa ikiwa wanaume hao
watatumia dawa hizo za kuzuia maambukizi pamoja na kutumia Condom,
huenda ikapunguza maambukizi ya HIV miongoni mwao kwa zaidi ya asilimian
20.
Msemaji wa shirika hilo, alisema kuwa
↧