WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema yeye ni tumaini la Watanzania na mpambanaji wa vita dhidi ya maovu.
Kutokana na hali hiyo, amesema ni jemadari hodari aliyeungana na
askari wapiganaji hodari wa vita ambao wataleta ushindi usio na shaka.
Kauli hiyo aliitoa jijini Mwanza jana, katika hotuba yake ya uzinduzi
wa taasisi ya Vijana ya Tanzania Youth (TYDC), ambako alipinga
↧