Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng'ata sehemu mbalimbali za mwili mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka kwa wananchi zimepungua.
Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Yohana Yongolo alisema ameridhishwa na ufafanuzi uliotolewa na Mwendesha mashitaka wa Serikali pamoja na Wakili wa
↧