Rais Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanashirikiana na wananchi ifikapo mwezi huo, kila shule ya sekondari katika maeneo yao, inakuwa na maabara kwa ajili ya masomo ya Sayansi.
Alisema hayo katika nyakati tofauti akiwa wilayani Kilindi na
↧