Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh
Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena
Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu
yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya
wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa
kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani
↧