WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa
na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa
ajili ya uchongaji wa matofali.
Tayari
mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian,
mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro
umepatikana.
Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha
↧