WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amenusurika kifo hivi karibuni
baada ya ndege ya shirika la Precision Air, iliyokuwa ikitoka Mwanza
kwenda Dar es Salaam kupata hitilafu ya injini.
Ndege hiyo, ambayo iliondoka Mwanza saa 2:30 usiku, ilipata hitilafu
ya injini moja muda mfupi tu baada ya kuruka, hali iliyomlazimu rubani
wa ndege hiyo kubadili mwelekeo na kutua katika Uwanja wa
↧