MBUNGE wa Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalumu,
Profesa Mark Mwandosya, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuelezea
mwelekeo wake wa kisiasa na hasa nia yake ya kuwania urais mwaka 2015.
Mwandosya, ambaye alikuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na Mtanzania, tayari ameeleza wazi kuwa hatatetea tena kiti chake cha
ubunge mwaka 2015.
Akizungumzia suala la urais
↧