Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye
jina la mpenzi wake Shilole. Leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua
hii aliyoamua kuifanya mtoto wake Nuh kwa upande wake.
Baba yake Nuh amezungumza hilo baada ya kuulizwa na Soudy Brown
kuhusiana na stori zilizosambaa juu ya kusemekana kumkataa
Shilole,msikilize Baba yake Nuh akizungumza na Soudy Brown.
↧
Alichokisema Baba yake Nuh Mziwanda baada ya kusikia mwanae kajichora tatoo yenye jina la Shilole.
↧