Ofisa mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
amefariki dunia na mwingine amesagika mguu baada ya mawe kuporomoka
wakati wakipanda Mlima Kilimanjaro katika mazoezi.
Wanajeshi hao ni miongoni mwa maofisa 263 wa JWTZ
waliopanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika kwa makundi kuanzia
Julai 12, mwaka huu kupitia njia ya Rongai iliyopo wilayani Hai.
Habari za
↧