Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada
ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo,
Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe,
nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye
kama kawaida.
↧