NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameondolewa chini ya ulinzi wa polisi katika mkutano wa hadhara baada ya kuibuka kwa vurugu zilizotokana na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Vurugu hizo zilizoambatana na kutoleana maneno ya kejeli na kuvutana mashati zilidumu kwa takribani dakika 30 na zilitokana na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya
↧