Na Kadama Malunde-Shinyanga
Mwanamke mmoja aitwaye Milembe Masanja(50) mkazi wa kitongoji cha Muhida kijiji na kata ya Busangi wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga kichwani na kukatwa mikono yote miwili na watu wawili waliokodishwa na familia moja kutekeleza mauaji hayo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo na kamanda wa polisi
↧