Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza maisha yake kivyake kwa kupanga nyumba nyingine mbali na mumewe....
Habari za kuaminika toka ndani ya familia ya Flora zinasema kuwa msanii huyo amekuwa na wakati mgumu
↧