Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua
gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa
amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati wakati Koleta alipokuwa akitoa kwenye
lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume
aliyeonekana kama mpenzi wake.
Wakiwa katika eneo
↧