Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina
Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa
chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini
Afrika Kusini.
Akizungumza na Mwanahabari wetu msemaji wa kampuni hiyo aliyewahi kushiriki
Shindano la Big Brother Africa 2003, Abergail Brigette Plaatjies ‘Abby’
alisema
↧