Mabaki ya miili zaidi ya 100 yameokotwa jirani na eneo
ilipoanguka ndege ya Malaysian Airlines kule Grabovo jirani na mpaka wa
Ukraine na Urusi .
Reuters iliripoti mapema Alhamisi kuwa
ndege hiyo yenye namba MH17 ilianguka jimboni Donetsk ikiwa njiani
kuelekea Kuala Lumpur ikitokea mjini Amsterdam, Uholanzi.
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa ndege hiyo
‘imetunguliwa’ na aidha
↧