Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha
‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi
kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata
pesa.
Akiongea na mwandishi wetu, Baby Madaha alisema kwa upande wake michongo yake mingi ya
hela anaipata kupitia kumbi za starehe hivyo kwa sasa fedha haingii
kabisa.
“Naomba Mwezi
↧