Mume na Mke wakizozana.
************
Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa
amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye
gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo hayo, usiku wa manane wa
kuamkia Jumanne iliyopita, wakati waumini wa Dini ya Kiislamu
↧