Mkazi wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa lengo la kulinda ndoa yake ili asiachike kwa kukosa mtoto.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Frednand Rwegasira alisema mtuhumiwa huyo alimuiba mtoto huyo katika eneo la Jangwani
↧