Mwenyekiti wa Club ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ndoto yake ni kuwa mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuwa Rais kwani uwezo wa kuwaongoza watanzania anao.
Akizungumza na Mpekuzi, msanii huyo amesema kuwa kitendo cha kuchaguliwa kuwa katibu kata ya Bwawani, Kinondoni jijini Dar es Salaam
↧