Msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Alice Bagenzi 'Rayuu' amesema amekuwa akisikia maneno ya chinichini kwamba ameenda Sumbawanga Kuroga....
Tetesi hizo za Rayuu kwamba ameenda Sumbawanga kuroga zimeanza kuvuma baada ya watu kuhoji kuwa jina lake linaonyesha yeye ni Mhaya, lakini chakushangaza amekuwa akienda Sumbawanga mara
↧