Mwandishi: Joyce Kiria.
Ukatili wa kijinsia haukubaliki hata kidogo, wengine tunapambana
usiku na mchana kutokomeza vitendo hivi vya Ukatili na Udhalilishaji,
cha ajabu watu maarufu sasaivi wamechachamaa kuendekeza vutendo hivyo..
Mara Dudubaya kampiga Mke wake, mara Tid kamtukana RayC, Mara
Chidbenz kampiga mzazi mwenzake, mara Ezden kampiga mkewe, mara
Chidbenz kampiga RayC!!!!
↧