Msanii wa maigizo na muziki wa kizazi cha leo, Zena Mohammed 'Shilole' amekuja juu na kusema anashangazwa na habari zilizozagaa mjini kuwa yeye amekataliwa ukweni....
Akiongea na Mpekuzi, Shilole amesema: "Nashangaa watu wanasema eti nimekataliwa ukweni kisa umri wangu kuwa mkubwa kuliko wa mwanaume. Ninachokijua mimi umri haujalishi katika
↧