Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini
tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka
kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani Kigoma.
Tangu
jana na leo kumeenea taarifa zinazowahusu watu watatu, Jaffari
Kasisiko, Msafiri Wamarwa na Mama Malunga Masoud, ambao vyombo
mbalimbali vya habari vimeandika kuwa wamehama
↧