Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku
katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood.
Habari mpya ni kuwa mtangazaji maarufu nchini VJ Penny soon ataonekana
katika kipindi kipya kinachohusu filamu za kitanzania ambacho
kitaonekana katika kituo cha kimataifa kinachoonekana nchi za Afrika
mashariki na kati.
Mishe mishe za
↧