VIDEO Queen nambari moja Bongo Agness Masogange amepost picha katika mtandao wa kijamii akiwa na mpenzi wake kitandani ambaye hakumtambulisha jina wakiwa wamejichora tatoo hadi tumboni....
Masogange ambaye haishi vituko kila siku katika mitandao alitupia picha tofauti zikionyesha tatoo zilizomo mwilini mwake na kuwatakia watanzania Asubuhi njema
↧