Nyota wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma
za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao
mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.
Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa
haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu
maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.
Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo
↧