Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka
Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni
kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.
Wengi
wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo
watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango
wowote wa kufanya kazi pamoja.
Ally Kiba kapatikana na
↧