Vile vituko vya reja reja kutoka kwa Tanzanian star actress Elizabeth
Michael "Lulu" bado vinaendelea.
Habari mpya zinasema kuwa juzi Lulu
alienda kwenye seminar ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania namna ya
kukuza sanaa ya nchini huku watoa mada wakubwa wakiwa mastaa wa Marekani
Terrence J, David Banner na Shaka Zulu...
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, lengo kubwa la Lulu kuhudhuria
↧