Jeshi la polisi mkoani Iringa limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya
wananchi ambao walivamia na kuanza kuchota mafuta kwenye lori la kubeba
mafuta baada ya kupata ajali.
Ajali
hiyo imetokea jana eneo la msitu wa serikali wa Saohil wilayani
Mufindi kwenye barabara kuu ya Iringa –Mbeya ambapo watu wawili
walijeruhiwa kwenye ajali hiyo.
Polisi
wamelazimika kutumia mabomu
↧