WAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.
Hayo yalisemwa juzi na Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati wa futari iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda kwa
↧