Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa
ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3
kisha ubongo wake kuamua kuutafuna.
Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kuukata uume wake.
Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na
kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiliongelea tukio hilo la kusikitisha.
↧