Wakati ikidaiwa kuwa mwanadada Aunt Ezekiel anamzunguka Wema Sepetu na kula Penzi la shemeji yake Diamond, sasa ameamua kufunguka na kudai kuwa kamwe hawezi kumsaliti Wema na kikubwa anachokiheshimu ni kwamba anajua Diamond ni mpenzi wa ndugu yake.....
Aunt alisema hajawahi kulala na Diamond, wala kumuomba kutoka kimapenzi kama watu
↧