Mume wa mcheza filamu za kibongo Jack Pantezel, Gadna Dibibi amesema kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni haki kwake kufanya jambo lolote kwa mke wake kwani wao ni wanandoa, hivyo hawawezi kujinyima haki yao ya msingi....
Dibibi amesema kuwa wamekuwa wakikutana na mkewe na kulimenya tunda tamu nyakati za usiku baada ya kufuturu lakini si
↧