Mtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.
Mtoto huyo alifikishwa Hospitali ya Amana katikati
ya wiki iliyopita kwa maelezo kuwa ana maradhi ya kuharisha, lakini
baada ya madaktari kumfanyia uchunguzi walibaini kuwa mtoto hakuwa na
ugonjwa wa kuhara, bali alikuwa amelawitiwa.
Muuguzi wa hospitali hiyo ambaye hakupenda jina
lake litajwe, alisema walimpokea
↧