MKURUGENZI
Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter
Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki
la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya
billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake.
Kupitia
kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza,
Keasi
↧