Wakazi
wa kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamechoma nyumba
nne za familia moja yenye zaidi ya watu ishirini na kuteketeza vyakula
na mali nyingine zenye zaidi ya shilingi milioni mia moja baada ya
kumtuhumu mmoja wa wanafamilia kwa ushirikina.
Mwenyekiti wa kitongoji cha mkoronga katika kijiji cha nguruka Matei
Charles ambaye alimuokoa mtuhumiwa wa uchawi
↧